YADAIWA HUSSEIN RASHIDI aka (HUSSEIN MACHOZI) KAPOKEA KICHAPO CHA MBWA NA KUPEWA MASAA 24 KUONDOKA NCHINI KENYA
Hussein Machozi |
Waswahili wanasema ngoma ikilia sana haikawii kupasuka. Ni hivi karibuni
mwanamziki wa Kitanzania wa muziki wa kizazi kipya Hussein Rashid kwa jina maarufu Hussein Machozi
ametokea kuvuma sana huko nchini Kenya kwa vibao kadha motomoto kama ‘ nipe’ na
Addicted alivyocheza akishirikiana na mwana dada Size 8 yamemfika ya kumfika
baada ya fumanizi.
Habari kutoka kwenye vyombo vya habari vya nchini Kenya zimenukuliwa zikidai kuwa kijana huyu
amefumaniwa na Mke wa Mwanasiasa mashuhuri huko jijini Mombasa
Kenya, katika Hoteli ambayo jina
halikutajwa na kupokea kichapo na kuamriwa kutoka nchini humo ndani ya saa
ishirini na nne.,
“Even though the news could
not be confirmed as Hussein Machozi had reportedly been ‘deported’ back to Tanzania and his phone went unanswered, in
another hour, a top Mombasa
blog posted the piece blaring it with this long catchy headline
“MSANII
HUSSEIN MACHOZI APOKEA KICHAPO CHA MBWA NA KUPEWA MASAA 24 KUONDOKA HAPA NCHINI
KENYA ”.
It sounded astonishing, so damning like a fellow caught doing drugs in Singapore .
“Msanii
huyu mashuhuri wa bongo flavor leo hii katika hoteli flani ya kitalii hapa
jijini Mombasa
alijipata matatani baada ya kupatikana akiwa na mke wa kiongozi flani mashuhuri
wa hapa nchini. Yasemekana mheshimiwa huyu amekua akimkulia timing Machozi bila
mafanikio lakini leo siku arobaini zilitimia kwake msanii huyu mkosa adabu,”
read the Blackstar Entertainment update whose Facebook link had been copied to
the Pulse editor. In a nutshell, the writer was insinuating that Machozi had
been having a secret affair with a top politician’s wife and after learning of
it, the politician had been tracking the two all along until this day when he
‘caught them’.
“Msanii
huyu alipatikana red handed na mke wa kiongozi huyo kwa kitanda na hapo ndipo
masaibu yakamkumba na kuamrishwa aondoke hapa nchini kwa masaa aliopewa,” the
dossier concluded and so with an exclamation: “Je, wewe kama
shabiki wake wamshauri vipi?”
Some
Facebook responses were as hilarious as the reports. One Job Chilibasi reasoned
that the news would not stop a steamy affair as ‘watakutana huko bongo’ while
Pettie Nashipai added that ‘utamu wa maisha, kipendacho roho dawa...ashapata
Hussein, ashapata yake mbona mwamgeuzia?”
Hivyo ndivyo
habari za ‘MTZ ‘ huyu zimevumishwa katika vyombo hivyo mbalimali kutoka huko nchini Kenya ambako msanii huyu anavuma. Washabiki wake nchini humo wamefikia kumfananishwa na Mwanamziki mashuhuri wa Kimarekani Curtis Jackson (aka) 50 cents.
A photo from Shu Omar Yunus in "In a Relationship with Hussein Machozi" |
Kijana huyu
mzaliwa wa Manyoni Singida, mwaka jana 2013 Agosti 28, habari zake za kuuaga ukapere zilitangazwa
katika mitandao ya kijamii kufunga pingu za maisha na mwadada Shu Yunus Omar
raia wa Kenya .
Kutokan na
uharaka unaodaiwa ameondokea nao huko Kenya
haifahamiki kama kafanikiwa kaondoka na mkewe ama amemuacha huko Kenya.
Shu Yunus Omari |
Zaidi ya yote mkewe kwa mwonekano
wake ana vigezo vyote vya kumfanya mume kutulia ndani na kuacha michepuko.
Hussein Machozi. |
Kama kweli kachepuka huyo mdada atakuwa si wa kipekee bali ni miss AFRICA.
Kwa uchache haya ndiyo tunayosikia kumkuta Mzee wa 'Binti Kiziwi'
HAPA pata Kibao kilichoiteka KENYA NZIMA CHA 'Addicted' UTAKIKUBALI ni kikali ile kwelili kweli.
Hadi tunaiposti habari hii hali ilikuwa bado ni ya kutatanisha kwamba ni kwele au si kweli.
Hofu ya kwamba ni kweli au si kweli inatokana na tabia iliyojitokeza ya wasanii kutumia vyombo vya hahari kujenga umaarufu wao kwa kukubaliana na vyombo hivi kuwapaka matope na kwa njia hii wanatoka kweli kweli.
Hofu ya kwamba ni kweli au si kweli inatokana na tabia iliyojitokeza ya wasanii kutumia vyombo vya hahari kujenga umaarufu wao kwa kukubaliana na vyombo hivi kuwapaka matope na kwa njia hii wanatoka kweli kweli.
0 comments: