UJERUMANI YACHUKUA KOMBE LA DUNIA RIO DEGENEIRO 2014
Mario Gotze na 19 kushoto akiwa na Thomas Muller na 13 wakifurahia goli lililommaliza Agentina. |
Nakifanya Ujerumani kuwa timu ya kwanza ya Ulaya kulichukua kombe hili likichezewa Amerika ya kusini.
Mario Gotze na 19 kushoto akiwa na Thomas Muller na 13 wakifurahia goli |
1-0 Wachezaji wa ujeremani wanasubiriwa na kitita cha mamilioni ya Dolla za Kimarekani kama zawadi kwa ushindi huu.
Huku Agentina wakisikitika kukosa Ushindi huu watani wao wa jadi Brazil ambao ndiyo wenyeji wa michuano, kwa kuchapwa mabao Saba kwa moja na Wajerumani kimoyomoyo wamekuwa wanafurahia Agentina kupoteza ushindi.
Brazil ambayo ilitegemewa na wengi kuchukua kombe hili mwaka huu imesikitisha washabiki wake hasa pale ilipopoteza pia ushindi wa nafasi ya Tatu kwa kufungwa na Uholanzi mabao matatu bila
Wakati Kocha wa Timu ya Brazil Luiz Felipe Scolari akisikitika kupoteza kazi mwanzake Louis van Gaal anasherehekea ushindi
Kocha wa Uholanzi Louis Gaal akipongeza Wachezaji wake |
0 comments: