JUA MATOKEO YA KOMBE LA DUNIA TOKA MWANZO HADI SASA HUKO BRAZI-- 2014
Mpira utumikao mwaka huu 2014 katika kombe la dunia huko Brazill |
Jana Juni tarehe 12,2014 Brazil na Croatia walifungua dimba katika mji wa SAO PAUL ndani ya uwanja wa Arena Corinthians na Brazil ikaishinda Croatia kwa mabao 3-1.
Katika mtanange huu Brazili ilijifunga yenyewe hivyo kuifanya Croatia kupata hilo bao la kujifutia machozii.Timu hizi ni kutoka kundi A,
Leo hii zimefanyika michezo mitatu Mexico na Cameroon, Chile na Australia Spain na Netherland
Kesho tarehe 13.zitachezwa mechi nne nzo ni Colombia na Greece,Uruguay na Costa Rica, england na Italy na Cote d'Ivoire and Japan.
Kujua msimamo na matokeo na mechi zilivyochezwa;
Kupata 'time table' ya 'round' ya kwanza na ya pili
*Bofya hapa
Mwisho tambua viwanja kumi na mbili ambako michuano hii itafanyikia huko Brazili mwaka huu.
Mwisho tambua viwanja kumi na mbili ambako michuano hii itafanyikia huko Brazili mwaka huu.
0 comments: