BRAZIL na CHILE, COLOMBIA na URUGUAY Dimbani LEO
Orodha ya nchi ambazo michuano ya kombe la Dunia limefanyikia tokea kuanza kwake 1930 hadi mwaka 2030.Ifuatayo ni orodha hii.
Kutokana na orotha hii BRAZIL imeandaa michuano hii mara mbili hadi sasa na imelichukua kombe hili mara nne ikifuatiwa na Italy na Ujerumani ambazo kila moja imelichukua kombe mara tatu.
Orodha ya nchi waandaaji toka 1930- 2022 na nchi iliyochukua kombe hilo kipindi hicho
Year | Host | Winner |
---|---|---|
1930 | Uruguay | Uruguay |
1934 | Italy | Italy |
1938 | France | |
1942 | Cancelled due to World War II | No Winner |
1946 | ||
1950 | Brazil | Uruguay |
1954 | Switzerland | West Germany |
1958 | Sweden | Brazil |
1962 | Chile | |
1966 | England | England |
1970 | Mexico | Brazil |
1974 | West Germany | West Germany |
1978 | Argentina | Argentina |
1982 | Spain | Italy |
1986 | Mexico | Argentina |
1990 | Italy | West Germany |
1994 | United States | Brazil |
1998 | France | France |
2002 | South Korea / Japan | Brazil |
2006 | Germany | Italy |
2010 | South Africa | Spain |
2014 | Brazil | Mshindi tunamtegemea. Bashiri atatokea wapi? |
2018 | Russia | |
2022 | Qatar |
Spain ambayo ilikuwa mshindi mtetezi kipindi hiki imekwisha tolewa katika kinyanganyiro hiki.
Swali wewe unatabiri atakayechukua ushindi LEO ni nani?
Leo tarehe 27/06/2014 Timu zilizo katika mzunguko wa kumi na sita hatua ya pili ni Brazili na Chile saa moja jioni na Colombia na Uruguay saa tano usiku.
Ingia tena kesho kupata matokeo na taarifa nyingine mpya za kombe hili:
Haya penalti hizo Brazili atajitetea mbele ya maelfu ya watazamaji WAKE
ReplyDelete