(BREAK NEWS) RATIBA YA MTIHANI YA KIDATO CHA NNE, CSEE 2014 YATOLEWA.
RATIBA YA MITIHANi CSEE 2014 |
RATIBA YA MTIHANI YA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA HUU INAANZA RASMI JUMATATU OKTOBA 06, 2014, NA MTIHANI WA MAJARIBIO WA CHAKULA NA LISHE (051/2 FOOD AND NUTRITION PRACTICAL ) NA KUMALIZIKA IJUMAA, NOVEMBER 28,2014.
Mwaka huu mwanafunzi atakaye tumia namba ya mwanafunzi mwingine,
ama kimakosa au kwa kudhamiria jambo hili litakuwa ni kosa la kumfutia mwanafunzi huyo mitihani yake yote.
Kwa kupata ratiba hii na maagizo kwa watahiniwa ;
Bofya hapa.
0 comments: