Harusi ya Mtanzania na Mkenya yafanyika Kwa Shangwe na Bashasha.
John Male Mziba na mkewe Perry Joseph Otieno |
Harusi ya Mtanzania na Mkenya yafanyika Kwa Shangwe na bashasha.
Bwana John Male Mziba na mkewe Perry Joseph Otieno kushoto wakikata utepe kufungua sherehe yao Alhamisi ya wiki iliyopita, tarehe 20 March 2014.
0 comments: