Tiba Mbadala ya Ugonjwa wa Sukari 'Type 2'

An apple a day keeps the doctor away.
Ugonjwa wa Sukari ni ugonjwa unaowasumbua
 watu wengi wakiwemo watu wazima na watoto kwa kiwango cha kutisha hivi sasa.

Ugojwa huu hauchagui mtu masikini wala tajiri. Pamoja na kuwepo kwa madawa ya hospitalini ambayo hupunguza makali yake madawa haya si tiba  ya kuponyesha ugonjwa huu.

Kwa kifupi Ugonjwa huu hauna dawa.

Wagonjwa wengi wasiokuwa katika maeneo ambako hospitali zitoazo madawa haya ziko, wamepoteza maisha yao kwa kutojua namna ya kujihudumia kwa gharama nafuu kabisa.

Isitoshe dawa hizi za sukari mahosipitalini hutolewa kwa masharti maalumu.

Ni hadi mgonjwa awe na cheti cha Daktari  cha kukuthibitisha kuwa kweli yeye ni mgojwa wa ugonjwa huu wa Sukari ndipo huhudumiwa.

Kwa hali hii wagonjwa wengi hukosa msaada wa haraka wa kupata tiba hii ya kupunguza makali ya Ugonjwa huu wa sukari.

Dhana iliyojengwa ya kudharau tiba asili imetufanya wengi kupuuzia dawa asili .

Hili limekuwa kutokana na sababu kuu mbili.Ya kwanza ni ile ya kuzuka watu matapeli wasiojua chochote lakini  hudanganya wagojwa kwa kuwapa dawa wasizozijua wala kujua jinsi zinavyotumika.

Sababu nyingine ni ya kibiashara ambayo ni ya kuchelea kuua soko la dawa za viwandani ambazo zinanunuliwa kwa fedha nyingi sana.Na sababu hii ya soko ndiyo ile ile inayozuia kasi ya kufanywa tafiti za madawa haya ya asili.

Pata  bure namna ya kujitengenezea  tiba mbadala ya Ugonjwa wa Sukari kutoka katika video hii.

Fanya mazoezi na usiache kutumia dawa ya Sukari uliyopewa na daktari wako.Hakuna madhara
 kama utatumia tiba hii mbadala na dawa za hospitalini.

Iko dhana kuwa dawa hizi huharibu figo.Kinyume chake ni kuwa husafisha figo na kutoa sumu mwilini.


0 comments:

POLL

Which structure of government do you prefer to be implemented in Tanzania?
  
pollcode.com free polls 

TOA MAONI YAKO HAPA (NI BURE)

Name

Email *

Message *

Copyright © 2014 Hii Wiki jijini Mwanza